Wakulima washauriwa kutumia teknolojia kwa kilimo Taita Taveta

  • | Citizen TV
    165 views

    Wakulima katika Kaunti ya Taita Taveta wameshauriwa kutumia teknolojia bora katika kilimo wakati huu wa kiangazi cha muda mrefu ili kupata mavuno bora. Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Ukame kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo ilitoa mafunzo kwa wakulima wa kaunti hiyo kuhusu mbinu za kukabiliana na athari za ukame kama anavyoeleza Keith Simiyu.