Wakulima wataka NCPB kufungua maghala mashinani

  • | Citizen TV
    295 views

    Wakulima katika kaunti ya Trans-Nzoia wamesifia hatua ya serikali ya kuongeza idadi ya magunia ya mbolea ya kutandaza katika ghala la NCPB mjini Kitale. wakulima hao sasa wanaitaka wizara ya kilimo kufungua vituo vya kununua mbolea hiyo nyanjani ili kuwapunguzia gharama za usafiri.