Wakulima wataka shamba la mpunga liongezewe Nyatike

  • | Citizen TV
    112 views

    Wakazi wa kaunti ndogo ya Nyatike, Kaunti ya Migori wametaka kuongezwa kwa shamba la unyunyiziaji maji la Kuja ili kuweza kuwahudumia na kuwafaidi wakulima zaidi