Wakulima watumia vifaa vya kunasa nishati ya jua Kajiado

  • | Citizen TV
    362 views

    Mradi wa utumizi ya vifaa vya kunasa nishati ya jua kwa ukuzaji wa mimea katika bara la Afrika umefanyika katika taasisi ya latia Isinya ,kaunti ya Kajiado .huu ukiwa ni mradi wa kwanza katika Afrika baada ya majaribio ya mwaka mmoja. Vifaa hivyo vinatumika kuvuna maji ya mvua, na kupiga maji ya visima.