Skip to main content
Skip to main content

Wakulima zaidi ya elfu 20,000 kutoka Bungoma wapokea mbegu za upanzi katika msimu huu wa mvua

  • | Citizen TV
    93 views
    Duration: 1:37
    Wakulima zaidi ya elfu 20,000 kutoka wadi ya mkuyuni iliyoko eneo bunge la kabuchai kaunti ya bungoma wamesambaziwa pembejeo bila malipo msimu huu wa upanzi .