Wakuu wa jumuiya za kikanda wakutana kusaka amani DRC

  • | BBC Swahili
    352 views
    Jumuiya za Afrika Mashariki EAC na kusini mwa Afrika SADC zimekubaliana kuwa na mchakato wa pamoja kuhusu upatikanaji wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika, AU. Viongozi wa jumuiya hizo pamoja na wale wa Umoja wa Afrika wamekutana leo jijini Nairobi Kenya.