Wakuu wa shule za sekondari walalamikia ufukara shuleni

  • | Citizen TV
    599 views

    Wakuu wa shule za sekondari wanahofia kuwa shughuli za kimsingi shuleni huenda zikakwama kutokana na kucheleweshwa kwa mgawo unaotolewa na serikali kugharamia masomo ya kila mwanafunzi katika shule za umma.