Wakuu wa usalama Afrika wakutana Kigali kutathmini mikakati ya kudhibiti mitandao

  • | Citizen TV
    523 views

    Suala la uhalifu mitandaoni linazidi kuzuia taharuki katika sekta ya usalama huku wakuu wa usalama afrika wakikutana mjini Kigali nchini Rwanda kutathmini mikakati ya kudhibiti tishio hilo. Collins Shitiabayi anahudhuria kongamano la usalama barani afrika na hii hapa taarifa yake kutoka kigali