Wakuzaji na wauzaji maua wajiandaa kwa biashara siku ya wapendanao

  • | Citizen TV
    607 views

    Siku ya wapendanao ni siku muhimu kwa wakuzaji na wauzaji maua duniani. Katika soko la humu nchini, kampuni zinazofanya biashara hii zimekuwa zikijitayarisha kuandaa maua yatakayouzwa kwenye soko la humu nchini na hata ughaibuni. Kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara