Wakuzaji wa miche Laikipia wataka serikali kuwahusisha kwenye siku ya kupanda miti

  • | Citizen TV
    134 views

    Huku taifa likijiandaa kwa sikukuu ya upanzi wa miti jumatatu ijayo,wakuzaji miche ya miti kutoka Laikipia wanaomba kuhusishwa kikamilifu kwenye shughuli nzima kuanzia kununuliwa kwa miche yao na idara tofauti za serikali hadi kuitunza miche hiyo