Walemavu kaunti ya Nandi wasema hawajanufaika na katiba mpya

  • | Citizen TV
    40 views

    Wakati taifa la Kenya linaendelea kuadhimisha miaka 15 tangu kuidhinishwa kwa katiba mpya,Watu wenye ulemavu kaunti ya Nandi wamesema kuwa hawajafurahia matunda yake kwa kikamilifu