Skip to main content
Skip to main content

Walemavu wahimizwa wachukue kura

  • | Citizen TV
    169 views
    Duration: 2:16
    Wazazi wenye Watoto walemavu ambao wamefikisha umri wa kuchukua vitambulisho wameshauriwa kuhakikisha wanajisajili kama wapigaji kura ili kutekeleza haki yao ya kufanya maamuzi katika uchaguzi mkuu mwaka ujao.