17 Sep 2025 10:39 am | Citizen TV 124 views Duration: 1:59 Jamii ya walemavu kaunti ya Mombasa imeitaka serikali kuendeleza kampeni ya kuwafanyia uchunguzi wa kiafya watoto walemavu ili kuwawezesha kusajiliwa na baraza la kitaifa la walemavu nchini .