- 252 viewsDuration: 3:16Watu Wanaoishi na Ulemavu (PWDs) wamenufaika na mpango wa miaka sita wa kuwawezesha kupanua biashara zao, kuongeza akiba na kuboresha usimamizi wa fedha, uliofanyika katika kaunti saba zikiwemo Meru, Kakamega, Kiambu na Laikipia.