18 Mar 2026 1:40 pm | Citizen TV 74 views Duration: 1:39 Muungano wa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka kaunti ya Kitui wameandaa hafla ya hamasisho kwa watu wenye ulemavu na kuwasaidia na viti vya magurudumu na chakula cha msaada.