4 Jun 2026 10:54 am | Citizen TV 168 views Duration: 1:48 Walemavu kaunti ya marsabit wailaumu serikali ya kaunti wakisema imewanyima kandarasi, ajira, unyanyapa, kukosa nafasi ya uwakilishi ndani ya bunge la kaunti miongoni mwa maswala mengine