Skip to main content
Skip to main content

Walemavu zaidi ya 1,200 wapewa vifaa tofauti kimilil kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    170 views
    Duration: 3:52
    Walemavu takribani 1200 kutoka eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma, wanufaika na vifaa vya kuwasaidia kwenye usafiri. Hii ni kwa mara ya kwanza kabisa kihistoria, kwa idadi kubwa ya walemavu kupata msaada huo bila malipo katika eneo hilo.