Walibora akumbukwa kwa ubora wake.

  • | West TV
    33 views
    Katika juhudi za kuweka kumbukizi za mchango wa mwandishi shupavu marehemu prof Ken Walibora, chuo kikuu cha Kibabii kwa ushirikiano na chuo kikuu cha kisii watashirikiana kuchapisha makala kwa heshima ya mwandishi huyo aliyeandika vitabu vingi.