Walichupa na sikukuu ya Pasaka

  • | BBC Swahili
    679 views
    Aleluya Kristo amefufuka! Kristo Pasaka Yetu...Amen Mathias Walichupa ni mwanamuziki wa Injili kutoka Dar es Salaam Tanzania anayetamba na kibao cha 'Amen' amezungumza na Martha Saranga kuhusu umuhimu wa siku hii ya pasaka kwa vijana: - -