- 354 viewsDuration: 1:47Walimu 35 kutoka shule za umma katika kaunti ya Isiolo wamepata mafunzo maalum ya kuimarisha utekelezaji wa mtaala mpya wa somo la kompyuta shuleni.Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea walimu uwezo wa kufundisha somo hilo kwa ufanisi, huku yakichangia kuimarisha matumizi ya teknolojia katika utekelezaji wa mtaala mpya.