Walimu Kajiado wapinga pendekezo la serikali kuondoa marupurupu

  • | NTV Video
    59 views

    Vyama vya walimu Kuppet na Knut tawi la Kajiado vimepinga vikali pendekezo la serikali kuondoa marupu rupu ya walimu wanaohudumu katika mazingira magumu huku wakitishia mgomo kama serikali itawahadaa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya