Walimu kutoka jamii ya waluhya washerehekea utamaduni Nairobi

  • | KBC Video
    44 views

    Walimu kutoka jamii ya waluhya wanaofanya kazi katika kaunti ya Nairobi, walikusanyika kwa siku ya utamaduni na ustawi wa jamii hiyo ya Mulembe, ambapo walikariri umuhimu wa umoja baina ya walimu wa jamii hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News