Walimu wa chekechea Machakos walia kuhusu kukataa kandarasi za muda mrefu

  • | NTV Video
    105 views

    Walimu wa shule za Chekechea katika kaunti ya Machakos wanateta wakisema kuwa kaunti imekataa kuwapa kandarasi za muda mrefu hivyo inakuwa vigumu kujiendeleza.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya