Walimu wa chekechea Wajir wapata mafunzo

  • | Citizen TV
    76 views

    Kaunti za Wajir na Mandera zimepiga hatua nyingine muhimu kuboresha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum, Kupitia Mfumo wa elimu wa CBE