Walimu wa JSS waandamana Machakos na Kirinyaga

  • | Citizen TV
    274 views

    Walimu wa shule za Sekondari Msingi Wanaendelea na mgomo wao kwa wiki ya pili sasa wakishinikiz akupewa kandarasi za kudumu. katika kaunti ya Machakos, walimu hao waliandamana kutoka mji wa Machakos hadi katika ofisi za tume ya walimu -TSC. Waalimu hao wanasema kuwa wanabaguliwa kwenye ajira ilhali wanafanya kazi ambazo walimu walioajiriwa wanafanya. aidha wanalalamikia malipo duni ya shilingi elfu kumi na saba. Aidha wanaitaka serikali kuwasikiza na kutekeleza uamuzi w amahakama kikamilifu. Maandamano kama hayo pia yamefayika katika kaunti za kirinyaga na taita taveta.