Walimu wa JSS waapa kutorudi darasani

  • | Citizen TV
    201 views

    Wakati huo huo, walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Kajiado wameapa kuwa hawatarejea Darasani hadi mwajiri wao awape sikio na kutekeleza matakwa yao ya kupewa ajira ya kudumu.