Walimu wa Kuppet Narok wailaani vikali mauaji ya Albert Ojwang’

  • | NTV Video
    403 views

    Walimu chini ya muungano wa Kuppet, kaunti ya Narok, wameungana na wenzao kote nchini kulaani mauaji ya kikatili ya Albert Ojwang', aliyefariki mikononi mwa polisi katika kituo cha polisi cha Central, jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya