Walimu wa mashuuru waomba dhidi ya msongo wa mawazo

  • | Citizen TV
    86 views

    Walimu kutoka eneo la Mashuuru kaunti ya Kajiado wameanda hafla ya maombi ambapo walitumai fursa hiyo itasaidia kuangamiza changamoto za msongo wa mawazo ambayo inazidi kuwakabili walimu wengi hasa wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.