- 437 viewsDuration: 2:12Hafla ya mafunzo kwa walimu wa shule za upili katika kaunti ya Nyamira imeanza rasmi, ikilenga kuwapa walimu hao ujuzi kuhusiana na mfumo mpya wa elimu ya CBE kabla wanafunzi wa gredi ya kumi kuingia shuleni mwezi Januari mwaka ujao.