Walimu wa Nyamira wanalalamikia utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    68 views

    Walimu kutoka Kaunti ya Nyamira wamelalamikia utovu wa usalama katika kaunti hiyo, kufuatia kuongezeka kwa visa vya dhulma na mauaji, kisa cha hivi punde kikiwa cha mwalimu aliyedaiwa kupigwa na mwalimu mkuu