Walimu wa sanaa na michezo waitaka serikali kuangazia miundo msingi ya mfumo wa CBC

  • | Citizen TV
    68 views

    Walimu wa sanaa na michezo kaunti ya Nyamira sasa wanaitaka serikali kuangazia miundo msingi ya mfumo wa CBC kwa mafunzo ya Sanaa na Michezo shuleni