- 143 viewsDuration: 1:45Kikundi cha walimu wa masomo ya sayansi na teknolojia nchini kinatoa wito kwa Wizara ya Elimu kuweka mikakati itakayowasaidia wanafunzi kuziba pengo lililopo kati ya masomo yanayofunzwa darasani katika mfumo wa elimu unaozingatia umilisi na uzoefu halisi kwenye soko la ajira.