Walimu wa sekondari msingi eneo la Tharaka waandamana kushinikiza TSC kuwapa ajira ya kudumu.

  • | Citizen TV
    113 views

    Walimu wa sekondari msingi JSS eneo la Tharaka wameandamana kushinikiza Tume ya TSC kuwasikiza na kuwapa ajira ya kudumu.