Walimu wa sekondari msingi Kericho waapa kufanya maandamano kila Siku

  • | Citizen TV
    170 views

    Walimu wa sekondari msingi JSS Kericho wameapa kufanya maandamano kila Siku mpaka Tume ya kuajiri walimu TSC itakapowasikiliza na kutatua matakwa yao ya nyongeza ya mshahara.