Walimu wa sekondari msingi waandamana mjini Nakuru

  • | Citizen TV
    220 views

    Walimu wa shule za sekondari msingi kutoka kaunti ya Nakuru wanafanya maandamano ya amani kwa siku ya pili ili kuishinikiza serikali kuu kushughulikia maslahi yao. Walimu hao wanasema kuwa serikali imekaidi uamuzi wa mahakama ulioitaka serikali kuwapa ajira ya kudumu pamoja na nyongeza ya mshahara. Evans Asiba anaangazia suala hilo mubashara kutoka Nakuru.