Walimu wa sekondari msingi waandamana Nandi wakitaka TSC kuwaajiri walimu

  • | Citizen TV
    509 views

    Walimu wa sekondari ya msingi kaunti ya Nandi hii leo wameandamana wakitaka tume ya kuajiri walimu humu nchini (TSC) kuwaajiri walimu ambao wametoa mafunzo tangu mfumo wa CBC kuanza, bila kuajiriwa.