Walimu wa sekondari msingi wanaendeleza maandamano

  • | Citizen TV
    77 views

    Walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Samburu wamefanya maandamano mjini Maralal, hadi katika afisi ya tume ya walimu tawi la Samburu kushinikiza tume hiyo kuheshimu uamuzi wa mahakama wa kuwapa ajira za kudumu. Walimu hao wameapa kutatiza masomo shuleni Hadi pale matakwa Yao yatakapotekelezwa. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.