Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa Shule ya sekondari msingi kaunti ya Nandi waliandaa maandano mjini Kapsabet

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 1:48
    Walimu wa Shule ya sekondari msingi kaunti ya Nandi waliandaa maandano mjini Kapsabet kushinikiza serikali kuzipatia shule za JSS mamlaka kamili na kuzitenganisha kabisa na shule za msingi.