Walimu wa Shule ya Upili ya Manda Airport katika kaunti ya Lamu walalamikia hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    416 views

    Walimu katika shule ya upili ya Manda Airport kaunti ya Lamu wamaitaka serikali kuu kukarabati barabara ya Manda kuelekea Shule hiyo ambayo imeharibika mno na kutatiza shughuli za usafiri wa wanafunzi. Kadhalika wanasema kuna haja ya kuboresha miundo msingi ya Kisiwa cha Manda ili kuinua viwango vya elimu.