Walimu wa shule za kibinafsi wanafanya kongamano Mombasa

  • | Citizen TV
    357 views

    Walimu wa shule za kibinafsi wanafanya kongamano Mombasa Waziri wa Elimu Profesa George Magoha anahudhuria kongamano hilo

    Suala la utekelezaji wa CBC kuzungumziwa kwa kina #Sema2022