Walimu wa shule za msingi wakutana jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    266 views

    Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi sasa unaitaka serikali kutimiza ahadi ya kuwaajiri walimu zaidi kufikia mwaka ujao.