Walimu wa shule za msingi wakutana Mombasa

  • | Citizen TV
    156 views

    Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi umetaka serikali kutimiza ahadi ya kuwajiri walimu zaidi ili kufanikisha masomo shuleni mwaja ujao.