Walimu wa Shule za Sekondari Msingi watishia kutotia saini kandarasi mpya

  • | West TV
    40 views
    Walimu wa shule za sekondari msingi eneo la Bungoma magharibi katika kaunti ya Bungoma,wamesuta wanasiasa na viongozi wenye ushawishi kwa kile wanachosema kuingilia utendakazi wa tume ya kuajiri walimu nchini tsc.