Walimu wa shule za upili wagoma kwa siku ya tatu

  • | Citizen TV
    1,099 views

    Chama cha waalimu nchini KUPPET kimeshikilia kuwa mgomo wao ulioingia siku ya tatu utaendelea, licha ya agizo la mahakama lililowataka kurejea darasani hii leo. Kwa siku nyingine, walimu hawa wametembelea shule mbalimbali kuhakikisha hakuna mwalimu wa sekondari anayefunza