Walimu waagizwa kuripoti shuleni tarehe 28 mwezi huu,kuanza maandalizi

  • | KBC Video
    Serikali imewaagiza walimu wote wa shule za msingi na upili kuripoti shuleni tarehe 28 mwezi huu kabla ya shule hizo kufunguliwa rasmi. Afisa mkuu mtendaji wa tume ya kuwaajiri walimu nchini Nancy Macharia amesema kuwa walimu hao watakuwa shuleni ili kuweka misingi ya kufunguliwa kwa taasisi hizo za masomo katika tarehe ambayo itatangazwa baadaye. Wazazi kutoka maeneo mbalimbali nchini wameelezea hisia zao kuhusu pendekezo hilo la kufunguliwa tena kwa shule wakisema kuwa hali ya janga la virusi vya corona nchini haijakuwa salama nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive