- 201 viewsDuration: 1:28Walimu wa sekondari msingi wameadamana mjini machakos wakisema serikali imepuuza matakwa yao. Walimu hao chini ya chama cha KUPPET waliotoka maeneo mbalimbali ya kaunti ya Machakos wanasema hawatarejea darasani hadi serikali iwape ajira ya kudumu.