Walimu waendelea na mgomo kwa siku ya nne

  • | Citizen TV
    502 views

    Kwa siku ya nne sasa walimu walioko chini ya muungano wa KUPPET wamezidisha mgomo wakisisitiza kuwa hawatarejea madarasani hadi matakwa yao yakatuliwe. Walimu wamepuuza nyongeza ya mishahara iliyotangazwa na tsc hapo jana wakisema kuwa ni kidogo mno. Aidha wamewaonya walimu wakuu dhidi ya kuwalazimisha kurejea kazini.