Walimu wahofia kuathirika mno na mipango ya tume ya TSC

  • | K24 Video
    12 views

    Chama cha walimu nchini KNUT kimepinga vikali mpango wa tume ya kuajiri walimu TSC wa kutaka kubadilisha sera za mwaka wa 2012 wakidai kuwa mabadiliko yanayopendekezwa yatawaangamiza walimu. Kulingana nao, TSC ina mpango wa kuwaadhibu walimu bila ya ushahidi wa kutosha huku wakipanga kushughulikia malipo ya walimu na kupuuza kuwa jukumu hilo ni la tume ya mishahara (SRC).