Walimu waitaka TSC kuwajibikia matakwa yao

  • | Citizen TV
    337 views

    Muungano wa walimu wa shule za sekondary -kuppet- tawi la Bungoma umesisitiza hautasitisha mgomo iwapo serikali haitatimiza matakwa yao.