Walimu wajitolea kufundisha watoto waliolazwa hospitali kwa muda mrefu

  • | BBC Swahili
    289 views
    Kutana na kikundi cha walimu kutoka wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro wanaojitolea kufundisha watoto waliolazwa kwenye hospital ya rufaa KCMC mkoani humo. Licha ya kufanya kazi hiyo kwa kujitolea walimu hawa wanajivumia matokeo chanya waliyoleta kwenye maisha ya watoto wanaokaa hospitali kwa muda mrefu 🎥: Bosha Nyanje #bbcswahili #tanzania #elimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw